Posts

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 07.10.2020: Sancho, Tomori, Rodon, Wijnaldum, Garcia, Depay

Image
CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Manchester United imejiondoa katika kumsaini mshambuliaji wa England Jadon Sancho 20, baada ya kubaini kwamba uhamisho huo huenda ukaigharimu timu hiyo £227m kutokana na dau la £108m linalotakiwa na Borussia Dortmund , pamoja na mahitaji ya marupurupu ya mshahara kutoka kwa ajenti wake (Guardian) West Ham walikuwa wako tayari kumsaini beki wa England Fikayo Tomori, 22, kwa mkopo ambao walikuwa wamejitolea kuilipa Chelsea dau la £50,000 kila mara alipokosa kuwachezea The Hammers , lakini makubaliano hayo hayakuafikiwa. (Talksport) Tottenham na West Ham wana hamu ya beki wa kati wa Wales Joe Rodon, 22, na huenda wakawasilisha ombi la dau la £18m kabla ya siku ya mwisho ya ligi ya EFL mnamo tarehe 16. (Wales Online) CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES West Ham huenda ikawasilisha ombi la kumsajili beki wa Watford na England Craig Dawson, 30, lakini watahitajika kulipa £4m. (Sun) Ombi la Manchester United la kumsajili winga wa Senegal Ismaila Sarr kwa kipindi kili...

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 06.10.2020: Pochettino, Garcia, Shaqiri, Stones, Anderson, Dawson

Image
CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Maafisa wakuu wa klabu ya Manchester United wamewasiliana na aliyekuwa kocha wa Tottenham Hotspurs Mauricio Pochettino iwapo watamfuta meneja Ole Gunnar Solskjaer. (Star) Manchester City imekataa ofa ya dau la £15.4m na marupurupu kutoka kwa klabu ya Barcelona kumnunua beki wa Uhispania Eric Garcia, 19, katika siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho.. (Sky Sports) Liverpool ilipokea maombi ya winga wa Switzerland Xherdan Shaqiri, 28, wakati wa dirisha la uhamisho na wanataraji atasalia katika klabu hiyo hadi mwezi Januari kwasasabu hawako tayari kumuuza kwa mkopo (Goal) CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Beki wa Manchester City na England John Stones, 26, alikataa mbadala wa kuondoka kwa mkopo kuelekea Totenham kwasababu hakutaka kuiondoa familia yake. (Star) Klabu ya Porto ina hamu ya kumnunua mchezaji wa West Ham na Brazil Felipe Anderson, 27, kwa mkopo hadi mwisho wa msimu. (Sky Sports) West Ham iko katika mazungumzo ya kumsajili beki wa England mwenye umri ...

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 05.10.2020: Guendouzi, Emerson, Partey, Diallo, Todibo, Skriniar, Cullen

Image
Kiungo wa kati wa Arsenal Matteo Guendouzi, 21, anatarajiwa kuelekea katika timu ya ligi ya Bundesliga Hertha Berlin, baada ya kuwachwa nje ya kikosi cha timu hiyo katika uwanja wa Emirates. (Mirror) Tottenham inatarajiwa kufanya jaribio la mwisho kumsaini beki wa InterMilan mwenye umri wa miaka 25 Slovakia defender Milan Skriniar. (Mirror) Juventus inaandaa dau la kumnunua beki wa kushoto wa Chelsea Emmerson Palmieri wakiwa na lengo la kumsaini mchezaji huyo wa Itali mwenye umri wa miaka 26 kwa. (Calciomercato - in Italian) Arsenal imefutulia mbali mpango wao wa kutaka kumsaini kiungo wa kati wa Ghana na Atletico Madrid Thomas Partey ,27. The Gunners haiko tayari kuafikia kifungu cha kumnunua mchezaji huyo cha £45m. (Mirror) CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Sheffield United inajiandaa kuipiku West Brom kumsajili mchezaji wa klabu ya Metz na Senegal mwenye umri wa miaka 25 Habib. (Le 10 Sport - in French) Beki wa kati wa Ufaransa Jean-Clair Todibo, 20, huenda anaondoka Barcelona kwa mkop...

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 02.10.2020 Alli, Aouar, Rudiger, Torreira, Gray

Image
CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Tottenham wamekataa ofa ya mkopo wa pauni milioni 1.5 kutoka Paris St-Germain kwa ajili ya mlinda mlango Dele Alli na mchezaji huyo, 24, anajiandaa kuendelea kusalia kwenye klabu hiyo ya London. (Guardian) Lakini klabu ya Ligue 1 watakuwa wanaandaa ofa ya mwisho ya mkopo kwa ajili ya Alli. (Telegraph) CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Antonio Rudiger alisaidia Ujerumani kushinda Kombe la Mabara mwaka 2017 nchini Urusi Spurs pia imeweka ofa ya mkopo kwa ajili ya mlinzi Antonio Rudiger, 27, anayekipiga Chelsea, wakati mazungumzo yakiendelea kati ya mahasimu hao wa London. (Nicolo Schira via Express) CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Lucas Torreira wa Arsenal huenda akaondoka klabu hiyo Arsenal wamekubali dili la mkopo kwa ajili ya mlinzi wa Uruguay Lucas Torreira, 24, kwenda Atletico Madrid, na hatua hiyo itawaruhusu kumsajili kiungo wa kati Hossem Aouar, 22, kutoka Lyon. (AS,via Mirror) CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Maelezo y...