Posts

Showing posts from April, 2020

JUDGING A PERSON BY HIS SUCCESS IS NONSENSE

Image
Inspiration team "Don't judge a person by his/her success, judge him/her by how many times he/she fell down and got back up"....... Note:A winner is a dreamer who never gives up. Sikuzote katika maisha usikate tamaa yaan hukiwa huwez kupaa basi kimbia na kama kukimbia ukiwa mtihani jitaid kutembea na ukichoka kutembea basi hatua ya mwisho tambaa lakini kamwe usije simama Fanya lolote ambalo litakupeleka mbele na si kukurudisha nyuma amakukusimamisha mahali uliopo....hivyo basi katika kila kitu unacho fanya jitaid usikate tamaa kwan mafanikio yako yanaitaji bidii kujituma na kuangaika.... @ Immanuel Mwenesi Contact 0757321062

UELEWA MDOGO TU UNAHITAJIKA

Image
MAISHA NI UELEWA WA VITU VIDOGO SANA ```1. Usimpigie mtu kwa zaidi ya mara mbili mfululizo. Ukishaona simu yako haipokelewi basi elewa kuna sababu ya msingi acha subiri akupigie pindi atakapoona ulimtafuta. 2. Rejesha pesa ulizokopa bila kusubiri kukumbushwa na aliyekukopesha. Hiyo inaonesha uadilifu wako na tabia yako. Vivyo hivyo rejesha mwavuli, peni, kitabu au chochote ulichoazima hata kama kidogo usisubiri kukumbushwa. 3. Usiagize chakula cha gharama kubwa pale unapotolewa out na mtu. Ikiwezekana mwombe akuagizie mwenyewe au shauriana naye chakula gani unaweza kuagiza. 4. Usiulize maswali yenye ukakasi kama "Hee bado hujaolewa/hujaoa tu? Au " he! Hujapata mtoto tu?", "he! Hamjajenga tu? " Mwee bado tu hamjanujua gari?" Kwa kifupi ni kwamba hayakuhusu mhusika akipenda mjadili hilo ataanzisha mwenyewe. 5. Ikitokea unaingia mahali na kuna mtu anakuja nyuma yako ni vizuri ukamshikia mlango bila kujali umri au jinsia yake. Haikugharimu lolote ...