JUDGING A PERSON BY HIS SUCCESS IS NONSENSE
Inspiration team
"Don't judge a person by his/her success, judge him/her by how many times he/she fell down and got back up"....... Note:A winner is a dreamer who never gives up.
Sikuzote katika maisha usikate tamaa yaan hukiwa huwez kupaa basi kimbia na kama kukimbia ukiwa mtihani jitaid kutembea na ukichoka kutembea basi hatua ya mwisho tambaa lakini kamwe usije simama Fanya lolote ambalo litakupeleka mbele na si kukurudisha nyuma amakukusimamisha mahali uliopo....hivyo basi katika kila kitu unacho fanya jitaid usikate tamaa kwan mafanikio yako yanaitaji bidii kujituma na kuangaika....
@ Immanuel Mwenesi
Contact 0757321062

Comments
Post a Comment