MASANJA AOMBA PASTOR MASHIMBO ARUDISHIWE SPEAKER ZAKE


Ni siku chache tu tangu TANROADS wachukue speaker za pastor Mashimbo ambazo alikuwa akizitumia kwa ajili ya kuhubiria barabarani na kuombea safari za watu,
Baada ya hali hiyo kujitokeza basi mtumishi wa Mungu Masanja ilimbidi kuiomba mamlaka husika kumrudishia Pastor Huyo speaker zake.
Na hii ni caption aliyoitoa Masanja
Caption hiyo aliiambatanisha na video hii ya kuhuzunisha ya Pastor Mashimbo akiwa Analia.
Bofya chini hapo kuangalia 

Tunakukumbusha tu, tembelea na section nyingine kama, Habari, BBC Swahili, Kilimo, simulizi, 
Kote kuna mambo mazuri Kwa ajili yako. 
Unasita nini sasa kumwambia jirani yako adownload app hii. 

Comments

Popular posts from this blog

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 28.09.2020: Kante, Jorginho, Mata, King, Dias, Garcia

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 30.09.2020: Sancho, Jovic, Alaba, Tagliafico, Lamptey

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 02.10.2020 Alli, Aouar, Rudiger, Torreira, Gray